ad

ad

ZAWADI ZA FAINALI ZA MASHINDANO YA TAIIFA YA MCHEZO WA POOL ZATAJWA. “SAFARI LAGER NATIONAL POOL CHAMPIONSHIPS 2013”.

 Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo(kushoto) akimkabidhi,katibu wa chama cha Pool Taifa, Amos Kafwinga, kikombe cha mshindi wa kwanza wa mashindano ya Pool Taifa yanayodhaminiwa na Kampuni ya Bia Tanzania kupitia bia ya Safari Lager jijini Dar es Salaam.
  Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo(kushoto) akimkabidhi katibu wa chama cha Pool Taifa, Amos Kafwinga,medali za washindi wa Fainali za Pool Taifa yanayodhaminiwa na Kampuni ya Bia Tanzania kupitia bia ya Safari Lager jijini Dar es Salaam.
Wakiwa kwenye picha ya pamoja na zawadi



KAMPUNI ya Bia Tanzania (TBL) kupitia bia yake ya Safari Lager leo imetangaza zawadi za washindi wa mashindano ya mchezo wa Pool Taifa yanayotarajiwa kufanyika Septemba 19 mpaka Septemba 23 2013. katika mkoa wa Morogoro yajulikanayo kama “Safari Lager National Pool Championships 2013” yanafanyika kwa mwaka wa sita sasa, Safari Lager imekuwa wadhamini wakuu wa mashindano haya kwa miaka yote sita.
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar Es Salaam, Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo alizitaja zawadi za fainali ya Taifa kuwa ni;
ZAWADI -2013
ZAWADI NGAZI YA FAINALI TAIFA MOROGORO
ZAWADI KWA TIMU
KIASI
ZAWADI KWA MMOJA MMOJA
KIASI (WANAUME)
KIASI (WANAWAKE)

Bingwa
5,000,000.00
Bingwa
500,000.00
350,000.00

Mshindi wa pili
2,500,000.00
Mshindi wa pili
250,000.00
200,000.00

Mshindi wa tatu
1,250,000.00
Mshindi wa tatu
200,000.00
150,000.00

Mshindi wa nne
750,000.00
Mshindi wa nne
150,000.00
100,000.00

4 Losses on 8 Regional’s kila mmoja atapata
350,000.00
4 Losses on best 8 for men and ladies
100,000.00
50,000.00

8 Losses on 16 Team’s  kila mmoja atapata
150,000.00
8 Losses on best 16 for men and best 14 for ladies
50,000.00
30,000.00





ZAWADI NYINGINE KWA NGAZI YA TAIFA- MOROGORO



WASHINDI WA TIMU ZA MIKOA



MSHINDI
KIKOMBE
MEDALI



Washindi
1
DHAHABU10



Washindi wa pili
-
FEDHA 10



Washindi wa tatu
-
SHABA 10



Washindi wa nne
-
-










SINGLES- WANAUME NA WANAWAKE




MSHINDI
KIKOMBE
MEDALI



Mshindi
1
DHAHABU 1



Mshindi wa pili
-
FEDHA 1



Mshindi wa tatu
-
SHABA 1



Mshindi wa nne
-
-









MCHEZAJI BORA WA MASHINDANO KUTOKEA NGAZI YA MIKOA



HADI TAIFA KWA WANAUME






MSHINDI
NGAO
MEDALI




Winners
1
DHAHABU 1





















Katibu wa Chama cha Pool Taifa, Bwana Amos Kafwinga, alisema “Baada ya kumaliza fainali za mikoa sasa tunaeleke Taifa ambapo alivitaja vilabu vilivyofuzu kuingia fainali za kitaifa ambavyo vitawakilisha mikoa iwakotoka kwenye fainali za kitaifa mjini Morogoro kuwa ni;


                      MKOA
                  KLABU BINGWA
MKOA WA LINDI
KLABU YA BUS STAND
MKOA WA KAGERA
KLABU YA BALELE
MKOA WA TABORA
KLABU YA LORIONDO
MKOA WA MWANZA
KLABU YA PASEANSI
MKOA WA SHINYANGA
KLABU YA KING PALACE
MKOA WA MOROGORO
KLABU YA ANATORY
MKOA WA ARUSHA
KLABU YA NGARENARO
MKOA WA KILIMANJARO
KLABU YA MBOSHO
MKOA WA TANGA
KLABU YA SPIDER
MKOA WA MANYARA
KLABU YA SUPERSPORT
MKOA WA PWANI
KLABU YA YAKWETU
TEMEKE- DSM
MPO AFRIKA
ILALA- DSM
MASHUJAA
KINONDONI- DSM
TOPLAND
DODOMA
ATLANTIC
IRINGA
GARDEN
MBEYA
ROYAL ZAMBEZI
 

No comments