Laila Ali 'She Bee Stingin'' BONDIA PEKEE WA KIKE ALIYECHUKUA KIWANGO CHA JUU CHA FEDHA KATIKA WANAMASUMBWI
| Leila ali akiwa na mumewe Curtis Conway pamoja na mtoto wao | 
Kwa sasa unakadiriwa pia utajiri wake 
unafikia kiasi cha dola za kimarekani milioni kumi ambazo ni zaidi ya 
fedha za kitanzania bilioni 16, ambazo ambazo amezitengeneza kutoka 
katika mchezo wa masumbwi duniani,
Matangazo ya bihashara, pamoja na kazi ya uwanamitindo 
 Kutokana na umaarufu wake katika 
masumbwi , alijikuta akipata mikataba mbalimbali mikubwa ya matangazo ya
 biashara  katika makampuni na maduka makubwa Duniani, kama maduka ya 
kuuza vyakula,nguo na vifaa vya michezo hali iliyompatia nafasi ya 
kujiongezea kipato chake kwa haraka  leila alianza kujihusisha na 
masumbwi akiwa na umri wa miaka 15, huku msaada wake mkubwa ukitokea kwa
 baba yake mzazi ambapo baada ya kuonesha uwezo wake kwa mda mfupi 
arianza kuingia kwenye mapambano ya kimataifa
Kutokana na umaarufu wake katika 
masumbwi , alijikuta akipata mikataba mbalimbali mikubwa ya matangazo ya
 biashara  katika makampuni na maduka makubwa Duniani, kama maduka ya 
kuuza vyakula,nguo na vifaa vya michezo hali iliyompatia nafasi ya 
kujiongezea kipato chake kwa haraka  leila alianza kujihusisha na 
masumbwi akiwa na umri wa miaka 15, huku msaada wake mkubwa ukitokea kwa
 baba yake mzazi ambapo baada ya kuonesha uwezo wake kwa mda mfupi 
arianza kuingia kwenye mapambano ya kimataifa  Mpambano wake wa kwanza wa ngumi za kulipwa alicheza na April
 Fowler  ,8/10/1999 katika ukumbi wa Turning Stone Resort & Casino, 
Verona, New York, USA  na kufanikiwa kumdunda kwa K,O raundi ya kwanza 
hapo ndipo alipo onekana leila ali kwa mara ya kwanza katika ngumi za 
kulipwa
Mpambano wake wa kwanza wa ngumi za kulipwa alicheza na April
 Fowler  ,8/10/1999 katika ukumbi wa Turning Stone Resort & Casino, 
Verona, New York, USA  na kufanikiwa kumdunda kwa K,O raundi ya kwanza 
hapo ndipo alipo onekana leila ali kwa mara ya kwanza katika ngumi za 
kulipwa
Ambapo mwaka 2002 alitwaa ubingwa wa  super middleweight  17,8,2002 kwa kumtwanga  K,O raundi ya pili bondia Suzette Taylor na kutangazwa kuwa bingwa wa Dunia unaotambuliwa na chama cha kimataifa 'IBA' 
 Baada ya kupata ubingwa huo mwaka 2005
 aliweza kutoa ubingwa mwingine unaotambuliwa na Shirikisho la Kimataifa
 la ngumi za wanawake ' IWBF kwa kumtwanga Nikki Eplion kwa K,O ya raundi ya nne katika uzito wa female super middleweight title

Pamoja na uwezo huo, Wapo baadhi ya 
mabondia wa kike kama Vonda Ward, Leatitia, Robinson na Ann Wolfe 
wamekuwa wakilalamika kuwa Leila anawakwepa kwa kupangiwa vibonde na 
kuhofia kupigwa.
Licha ya kufanya vizuri kwenye mchezo 
wa masumbwi, mitindo na matangazo ya biashara kwenye runinga lakini mara
 kadhaa amekua akialikwa kwenye vituo mbalimbali vya runinga kwa ajili 
ya vipindi hali inayomfanya kukusanya kiasi kikubwa cha fedha 
Baadhi ya vipindi hivyo maarufu ni 
pamoja na agaeorgr Lpez, Dancing with the Stars, American 
Gladiators,Celebrity Family. The Early Show
Katika historia ya  maisha yake ya 
ndoa ,leila amesha olewa mara mbili ambapo kwa mara ya kwanza aliolewa 
na Johnny Mcclain Agost 27,2000,ambaye walikutana kwenye sharehe ya 
kuzaliwa baba yake mzazi Mohamed Ali wakati anatimiza umri wa miaka 57.
Kabla ya kuoanaMacClain ndiye 
aliyekuwa promota wake katika michezo ya ngumi za kulipwa jambo ambalo 
lilimsaidia kufanya vizuri katika mapambano yake yote ambayo ajapigwa 
wala kutoa droo ata mpambano mmoja akiwa na alama won 24 (KO 21)
            + 
            lost 0 (KO 0)
            + 
            drawn 0
            = 
            24  
Baada ya kuoana mwaka 2000 walikuja
 kuhachana mwaka 2005. mwaka 2007, leila alifunga ndoa na Curtis Conway ,
 ikiwa ni ndoa yake ya pili . wadadisi wa mambo ya kimapenzi wanaeleza 
kuwa kilichomfanya kuolewa tena ni kutokana na kuwa na mvuto wa 
kimapenzi alionao mwana dada huyo maili awapo ulingoni,
Leila amefanikiwa kupata watoto 
watatu akiwa na McClain ambao ni Leilani,Cameron na Kelton. Baada ya 
kuolewa tena alipata watoto wawili ambao ni Curtis Muhame Conway 
Aliyezaliwa mwaka 2008 na Sydney  mwaka 2011
Kwa sasa leila amestafu kucheza mchezo wa masumbwi tangu acheze mchezo wake wa mwisho Tareha 3 -2-2007  na Gwendolyn O'Neil na kufanikiwa kumpiga kwa K,O raundi ya kwanza na kutangazwa kuwa bingwa wa mikata miwili ya WBC female super middleweight title
WIBA Women's International Boxing Association super middleweight title
WIBA Women's International Boxing Association super middleweight title
Ingawa kazi kubwa anayofanya kwa sasa ni kutangaza vipindi mbalimbali kwenye television pamoja na mitindo 
Moja ya mambo ambayo yalishangaza 
ulimwengu katika fani ya mitindo mwaka 2012 akiwa na mimba ya miezi 9, 
aliweza kushiriki kikamilifu katika maonesho ya mavadhi aliweza kuonesha
 umahiri wake kwenye jukwaa kwa kupita akiwa kwenye tamasha la mavazi 
lililofanyika jijini London Nchini Uingereza Novemba 20, 2012
Amestaafu akiwa na rekodi ya kutopigwa ata mchezo mmoja ambapo alicheza michezo  24 alishinda kwa  KO 21 ambapo mabondia watatu pekee ndio aliwashinda kwa point 
huyo ndio leila Muhamed Ali
kwa mahitaji ya DVD ZAKE KWA AJILI YA KUONA MAPAMBANO YAKE MBALIMBALI LIVE TUWASILIANE KUPITIA
|  | 
| Leila ali akiwa na mumewe Curtis Conway pamoja na mtoto wao | 
 
Post a Comment