SAFARI LAGER KUZINDUA MSIMU WA PILI WA PROGRAMU YAWAJASIRIAMALI YA “SAFARI LAGER WEZESHWA” JIJINI MWANZA KESHO.
Wasanii
wa Safari Lager Wezeshwa kutoka Kampuni ya Integrated Communications wakicheza
wakati wa kuelimisha wakazi wa jijini
Arusha Tengeru kuhusu program ya
Safari Lager Wezeshwa awamu ya pili
Balozi
wa Saafari Lager Wezesha, Faudhia Mohamed(kushoto) akiwaelimisha wakazi wa
Tengeru jijini Arusha
Wasanii wakitoa burudani
Balozi
wa Saafari Lager Wezesha, Bahati Minja(kulia) akiwaelimisha wakazi wa Tengeru
jijini Arusha
Wasanii wakicheza
Balozi
wa Saafari Lager Wezesha, Khadija Mdee(kushoto) akiwaelimisha wakazi wa Tengeru
jijini Arusha
Wasanii
wa Safari Lager Wezeshwa kutoka Kampuni ya Integrated Communications wakicheza
wakati wa kuelimisha wakazi wa jijini
Arusha Tengeru kuhusu program ya
Safari Lager Wezeshwa awamu ya pili
Wakazi wa Tengeru Arusha wakiwangalia Wasanii
Post a Comment