ad

ad

RAIS JAKAY KIKWETE AFUNGUA CHUO KIKUU CHA NELSON MANDELA JIJINI ARUSHA LEO.

  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua jiwe la msingi kuashilia ufunguzi rasmi wa Chuo Kikuu cha Nelson Mandela cha Sayansi na Teknolojia Arusha leo.Kushoto kwa Rais ni Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal.Baadhi ya majengo hayo yalijengwa na Kampuni ya ujenzi ya Elerai Constraction Limited.
 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua sanamu ya picha ya Nelson Mandela wakati wa ufunguzi rasmi wa Chuo Kikuu cha Nelson Mandela cha Sayansi na Teknolojia Arusha jana.Nyuma ya Rais ni Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal.Baadhi ya majengo hayo yalijengwa na Kampuni ya ujenzi ya Elerai Constraction Limited.
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipanda mti kuashilia  ufunguzi rasmi wa Chuo Kikuu cha Nelson Mandela cha Sayansi na Teknolojia Arusha jana..Baadhi ya majengo hayo yalijengwa na Kampuni ya ujenzi ya Elerai Constraction Limited.
Makamu wa Rais Dkt. Mohamed Gharib Bilal  akipanda mti kuashilia ufun guzi rasmi wa Chuo Kikuu cha Nelson Mandela cha Sayansi na Teknolojia Arusha jana.Kushoto kwa Rais ni Makamu wa Rais Dkt. Mohammed Gharib Bilal.Baathi ya majengo hayo yalijengwa na Kampuni ya ujenzi ya Elerai Constraction Limited.Kulia ni Rais Jakaya Mrisho Kikwete

No comments