SAMSUNG YAZINDUA WIKI YA SAMSUNG JIJINI DAR ES SALAAM
Meneja wa wateja wadogo wadogo, Sylivester Manyara akizungumza na waandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa wiki ya Samsung iliyofanyika Dar es salaam leo.
Meneja wa Samsung, Raghu Shetty akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa uzinduzi huo.
Waandishi wa habari wakifuatilia
Sylivester akizungumza
Post a Comment