RAIS KIKWETE AKUTANA NA UJUMBE KUTOKA KENYA
Rais JAkaya Mrisho Kikwete akipeana mkono na Waziri wa Sheria wa
Kenya Mhe Eugene Wamalwa wa chama cha New Ford Kenya. Kulia kwake Naibu Waziri
Mkuu wa Kenya na Waziri wa Fedha Mhe. Uhuru Kenyatta ambaye pia ni Mwenyekiti
wa chama cha TNA. Wengine ni Naibu Waziri wa
Afya na mbunge wa Mombasa Mhe. Kambi Kazungu (kulia), Mbunge wa kuteuliwa wa
chama cha TNA Bi Rachel Shebesh, na Mbunge wa Kajiado kwa tiketi ya TNA Moses
ole Sakuda (kushoto) na mbunge wa zamani Mhe Abdullahi Alli alipokutana na
ujumbe huo Ikulu jijini Dar es salaam
RAIS JamhuriyaMuunganowa
Tanzania, MheshimiwaJakayaMrishoKikweteametakawananchiwa Kenya
wapewenafasiyakuamuaniviongoziganiwanawatakakatikaUchaguziMkuuuliopangwakufanyikaMachimwakani.
Aidha,
RaisKikweteamesemakuwawananchiwa Kenya
wanayohakiyamsingikabisakuamuahatmayataifalaokatikaUchaguziMkuuhuo.
MheshimiwaRaisaliyasemahayoleoOktoba
21, 2012 alipokutananakufanyamazungumzonaujumbewawabungewavyamambalimbalivyasiasavyanchini
Kenya uliomtembeleaIkulujijini Dar es salaam.
UjumbehuouliongozwanaNaibuWaziriMkuuwa
Kenya naWaziriwaFedhaMhe. Uhuru Kenyatta ambayepianiMwenyekitiwachama cha TNA
naWaziriwaSheriawa Kenya Mhe Eugene Wamalwawachama cha New Ford Kenya.
WotewawiliniwagombeawanafasiyaUraiskatikauchaguziujao.
WenginekatikamsafarahuowalikuwaniNaibuWaziriwaAfyanambungewa
Mombasa Mhe. KambiKazungu, Mbungewakuteuliwawachama cha TNA Bi Rachel Shebesh, naMbungewaKajiadokwatiketiya
TNA Moses ole SakudanambungewazamaniMheAbdullahiAlli.
RaisKikwetealiwapongezakwakuamuakufanyakazikwapamojalichayakuwawatakuwawashindanikatikakinyang’anyiro
cha uchaguzimkuuhuo.
MheshimiwaRaisameitakiaherinchiya
Kenya katikauchaguzihuoujao, nakusisitizakwambanchihiyoyajiraniinaumuhimukatikamustakabaliwakiuchumikwanchizaAfrikaMashariki.
RaisKikwetewakatihuoakiwaMwenyekitiwaUmojawaAfrika
(AU)
alikuwamiongonimwaviongoziwalioshughulikasanakutafutaufumbuziwaghasianavuruguzilizozukakufuatiaUchaguziMkuuwamwaka
2007 nchini Kenya.
RaisKikwetealikaasikutatunchini
Kenya akitafutausuluhishiwavuruguhiyoyakisiasanchinihumo,
ambayokatikamazungumzoyakeleoameyatajakamaajaliiliyolipataTaifa la Kenya,
naambayomajirani wake hawaitarajiikutokeakatikauchaguziujao.
Rais JAkaya Mrisho
Kikwete akizungumza na Naibu Waziri Mkuu wa Kenya na Waziri wa Fedha Mhe. Uhuru
Kenyatta ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama cha TNA, Waziri wa Sheria wa Kenya
Mhe Eugene Wamalwa wa chama cha New Ford Kenya, Naibu Waziri wa Afya na mbunge
wa Mombasa Mhe. Kambi Kazungu (kulia), Mbunge wa kuteuliwa wa chama cha TNA Bi
Rachel Shebesh, na Mbunge wa Kajiado kwa tiketi ya TNA Moses ole Sakuda
(kushoto) na mbunge wa zamani Mhe Abdullahi Alli alipokutana na ujumbe huo
Ikulu jijini Dar es salaam
Rais JAkaya Mrisho Kikwete
akipeana mkono na Naibu Waziri wa Afya na mbunge wa Mombasa Mhe. Kambi Kazungu.
Wengine ni Waziri wa Sheria wa Kenya Mhe Eugene Wamalwa wa chama cha New Ford
Kenya, Naibu Waziri Mkuu wa Kenya na Waziri wa Fedha Mhe. Uhuru Kenyatta ambaye
pia ni Mwenyekiti wa chama cha TNA. Kushoto kwa Rais ni Wengine ni (kulia),
Mbunge wa kuteuliwa wa chama cha TNA Bi Rachel Shebesh, na Mbunge wa Kajiado
kwa tiketi ya TNA Moses ole Sakuda (kushoto) na mbunge wa zamani Mhe Abdullahi
Alli alipokutana na ujumbe huo Ikulu jijini Dar es salaam
Post a Comment