NBC yawazawadia washindi wa Promosheni ya 'Dabo Mshiko'
Mmoja wa washindi wa promosheni ya Dabo Mshiko wako na NBC,Joseph Saindani Nyilenda akionyesha zawadi yake ya fedha taslimu mara baada ya kukabidhiwa jijini Dar es Salaam. |
Mshauri wa Mahusiano wa Benki ya NBC, Eddie Mhina akizungumza katika hafla ya kuwakabidhi zawadi washindi wa promosheni ya Dabo Mshiko wako na NBC jijini Dar es Salaam. |
Post a Comment