ad

ad

HELVETIC SOLAR CONTRACTORS MABINGWA TOP 100 MID-SIZED COMPANY

  Naibu Waziri wa Mawasiliano Sayansi na Tekinolojia, January Makamba(watatu kulia), akimkabizi tuzo Mkurugenzi wa Kampuni ya Helvetic Solar Contractors, Inginia Patrick Ngowi(kulia) mara baada ya kuibuka mshindi wa mwaka 2012 ya makampuni 100  ya kati (Top 100 mid-sized companies) wakati wa hafla ya kugawa tuzo hizo zilizofanyika Mlimani City Dar es Salaam.Kushoto ni Mkurugenzi wa Ufundi, Ephraim Kimati na Miss Irene Ngowi.
 Wakikabidhiwa tuzo
 Mkurugenzi wa Kampuni ya Helvetic Solar Contractors, Patrick Ngowi akitoa shukrani
 Mkurugenzi wa Kampuni ya Helvetic Solar Contractors, Patrick Ngowi akizungumza na wanahababri
 Akizungumza na wanahabari
Patrick akizungumza na wanahabari,kulia ni Dada yake Irene Ngowi

No comments