CUF NGANGARI YAFANYA MKUTANO WA OPERESHENI MCHAKA MKCHAKA HADI 2015 YA CUF YAENDELEA KUPORA VIONGOZI WA CHADEMA. Waliokimbilia ADC nao warejea kwa kishindo.
Baadhi ya wafuasi wa chama cha wananchi CUF wakifuatilia kwa makini mkutano wa Chama hicho uliofanyika Buguruni jijini Dar es Salaam. |
Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar na Katibu Mkuu wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad akiwahutubia wafuasi ya wapenzi wa chama hicho katika viwanja vya Buguruni jijini Dar es Salaam. |
Post a Comment