MANTRA TANZANIA YAICHANGIA MIL 8 TIMU YA NGUMI RUVUMA

Mkurugenzi wa Mahusiano wa taasisi isiyokuwa ya kiserikali (Mantra)
Bernad Mihayo akimkabidhi mkuu wa wilaya ya songea Joseph Mkirikiti
msaada wa shilingi milioni nane katika kusaidia timu ya Mchezo ngumi
mkoani ruvuma ambayo inashiriki mashindano ya nguni ya taifa ambayo
yameanza leo september 17 katika uwanja wa ndani wa taifa
Post a Comment