
Mkuu wa Wilaya y Kinondoni, Jordan Rugimbana kwa niaba ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiahidi kushughulikia matatito ya Chuo cha Ustawi wa jamii baada ya kugoma,hapa akizungumza nao.

Akielekea kwa mazungumzo na wanafunzi wa Chuo cha Ustawi wa jamii.Kilia ni Mkuu wa chuo hicho

Wanafunzi wakiwa na mabango

Wanafunzi na Mabango

Mmoja wa viongozi wa Serikari ya Wanafunzi akiwasihi wamsikilize Mkuu wa Wilaya

Mkuu wa Wilaya akizungumza na Wanafunzi hao

Wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya

Wakisikiliza

Wakisikiliza kwa makini

Wakisikiliza
Post a Comment