ad

ad

KINONDONI YATWAA UBNGWA MASHINDANO YA POOL SAFARI LAGER


Kombe la Pool Safari Lager ambalo Mkoa wa kimichezo wa kinondoni walijitwalia mjini Arusha
Mchezaji wa kiume Omari Akida wa timu ya Kinondoni akimuelekeza jambo mchezaji wa kike wa timu ya Kinondoni,Vailet Mrema akicheza mechi ya fainali.
Mashabiki wakifatilia fainali za Pool Safari Lager

Wapenzi na mashabiki wa Pool wa mchezaji wa kike wa Mmkoa wa kimichezo wa Kinondoni ,Vailetui Mrema mara baada ya kibuka Bingwa wa mchezo huo upande wa wanawake.
Wapenzi na mashabiki wakifuatilia fainali kati ya Kinondoni na Temeke
Hawa wakimpongeza Vailet Mrema wa Kinondoni


Katibu wa chama cha Pool Taifa (TAPA) ,Amos Kafyinga akihakiki wakati wachezaji wanasaini

Mrs Goodluck Mmali akimpongeza mchezaji wake Vailet Mrema mara baada ya kuibuka Bingwa upande wa Wanawakae
Mchezaji wa timu ya Kinondoni ,Dura akicheza

Mwamuzi akiwaonya mashabiki kwa kushangilia kwa fujo.
Wachezaji wakicheza kati ya Godfrey Mhando wa Kinondoni (kushoto) na Mgassa wa Temeke watkati wa fainali

Mchezaji Bora wa mashindano ya Pool Safari Lager 2010 akicheza wakati wa fainali hizo.


Wachezajio wa timu ya Kinondoni wakishangilia mara baada ya kuibuka Mabingwa wa Pool Safari Lager 2010 mjini Arusha dhidi ya Temeke kwa kuwachapa 15-10.

MWALI...

Wasanii wa Color Dance wakitoa burudani mara baada ya fainali hizo.

Meneja wa Bia ya Safari Lager akizungumza na haraiki ya wachezaji na wageni waalikwa wakati wa kukabidhi zawadi kwa washindi
Kiongozi wa chama cha Pool Mkoa wa Arusha akishukuru.
Moja ya wafadhiri waliojitokeza mjini Arusha wa Mercury Hotel akizungumza ,ambaye aligharimia malazi kwa viondozi wote wa Pool kutoka mikoani na kutoa zawadi ya shilingi laki moja kwa mshindi wa kwanza.

Meneja mauzo wa Kanda ya Kaskazini,Jemes Bokera akishukuru kwa mashindano kumalizika salama.
Kocha wa timu ya Taifa,Denis Rungu akitaja timu ya taifa ya wachezaji 20.

Denis Rungu
Timu ya Taifa ya awari kabla ya kutangazwa Wwengine 15.
Kocha akisalimiana na Waziri baada ya kutangaza timu ya Taifa.
TIMU YA TAIFA YA WACHEZAJI 20

Bingwa wa wanawake akisalimiana na Waziri

Mwenyekiti wa TAPA,Isach Togopcho akizungumza na kushukuru.
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Isidori Shirima akizungumza na wachezaji kutoka katika mikoa 14

Waziri Baltrida akizungumza na wachezaji
Zawadi ya mchezaji Boya wa mashindano hayo,Omary Akida.

Mshindi wa pili wanawake akivarishwa medali,Rosemary
Msindi wa kwanza wanawake akikabidhiwa zawadi na fimbo,Vailet Mrema.
Mchezaji Bora wa Pool akikabidhiwa ngao na mwandishi wa habari wa TBC,Jane John

Meneja wa Hoteli ya Mercury kulia akimkabidhi kaptani wa timu ya kinondoni ,Godfrey Mhando ya timu Bora iliyofanya vizuri kwenye mashindano hayo. Mwenyekiti wa Mkoa wa Kinondoni akikabidhiwa kitita cha shilingi milioni tatu na nusu ikiwa ni zawadi kwa wasgindi wa kwanza
Mkuu wa Mkoa wa Arusha,Isidori Shirima (kulia ) akimkabidhi kikombe kaptani wa timu ya Kinondoni,Godfrey Mhando.

Washindi wa pili wa Mkoa wa Temeke wakipokea zawadi ya milioni mbili na nusu
Mkuu wa Mkoa wa Arusha na Kaptaini wa kinondoni wakishangilia na Kaikombe
Picha ya Pamoja na Kikombe




Kocha na mchezaji wake

No comments