ad

ad

KAPUNI YA KUTENGENEZA MASHINE ZA KUTOTOLEA VIFARANGA YA IMBERUZI.

Baadhi ya mashine za kutotolea vifaranga.
Wafanyakazi wakitengeneza mashine.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Grofin Tanzania,Filemon Choroha akiangalia badhi ya mashine za kutotola vifaranga vya Kampuni ya Imberuzi SIDO Dar es Salaam.Kulia ni Mkurugenzi wa Imberuzi, Zacharia Mophat.



Kaimu Mkurugenzi akipata maelezo kutoka kwa Mmkurugezi wa Imberuzi