
Mbunge wa Kinondoni,Idd Azan (kushoto) akifungua Bonanza la Watoto Yatima Viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam

Watoto Yatima wakimsikiliza Mbunge,Idd Azan wakati wakuzindua rasmi Bonanza hilo

Wachezaji kutoka vituo mbalimbali wakifuatilia

Wakisoma Dua ya Ufunguzi rasmi

Dua

Dua

Watoto wakiongoza Dua wakati wa Ufunguzi huo

Dua

Mtoto wa Kike akitoa Dua

Dua

Idd Azan akikabidhi jezi kwa vituo mbalimbali

Akikabidhi jezi

Mbunge wa Kinondoni akifungua kwa kupiga Penati

Akipiga Penati

Watoto wakipuliza Vuvuzela ikiwa ni moja ya Michezo

Picha ya Pamoja ya moja ya kituo

Group Photo




Watoto wakilisakata Soka

Soka

Soka likiendelea wakati wa Bonanza hilo

Wakishuhudia michezo mbalimbali

Wakifuatilia

Wakifuatilia

Watoto wakicheza
Post a Comment