
Mratibu wa Bonanza la Watoto Yatima kutoka vituo sita vya jijini Dar es Salaam akiswali pamoja na watoto hao watakti wa ufunguzi wa mashindano hayo kusherehekea sikukuu ya Eid pili viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam

Waandaaji wa Bonanza wakizungumza na waandishi wa habari.

Watoto wakicheza mpira wa kikapu

Wakicheza mpira wa kikapu.

Nyota wa kesho kutoka shule ua upanga akijiweka sawa.

Wakicheza mpira wa kikapu

Watoto wakicheza mchezo wa kioo kioo alikivunja nani.

Watoto wakikimbia riadha

Watoto wakicheza mchezo wa kujivuta huku wamekaa
Post a Comment