
Msanii wa nyiombo za kizazi kipya Afande Sele akitoa burudani kwenye Bonanza la Grand Malt kusherehekea sikukuu ya Eid pili.

Vijana kutoka kinondoni wakicheza kwa staili ya kiduku kwenye tamasha hilo

Afande Sele

Dada akicheza kiduku

Afande Sele

Meneja wa Kinywaji cha Grand Malt baada ya kuongea na waandishi wa habari

TMK

Wazee wa TMK
Post a Comment