ad

ad

ZIARA YA WAANDISHI WA HABARI KUTEMBELEA MIRADI ILIYOFADHILIWA NA HEIFER-HAPA NI KWA ROMAYANI SAREO KIJIJINI OLEGILAI ARUSHA.

Romayani Sareo ni Mfugaji wa Ng'ombe wa Maziwa na Mkulima wa Mahindi,Migomba,viazi mviringo,kabichi,,miti,majani,kahawa na kilimo hai.
Naibu Mkurugenzi wa Heifer,Alfred Futte akisaini kitabu cha wageni kwa mkulima na mfugaji Romayani Olegilai Arusha.
Waandishi wa habari na baadhi ya viongozi kutoka Heifer wakipitia kumbukumbu za Mfugaji na Mkulima,Romayani Sareo
Romayani akiwatembeza shambani


Shamba la miti,mchanganyiko na vitu vingine
Romayani akiwaonyesha mdudu mharibifu aliyenasa kwenye mtego,Nyuma yake ni Mwandish mwandamizi wa Gazeti la Nipashe,Abdul Mitumba.
Hapo ni Nyumbani kwa Romayani,Nyumba hiyo ni matunda ya Heifer
Haya ni sehemu ya Biashara ambayo pia ni matunda ya Heifer
Romayani kushoto wakiteta jambo na Naibu Mkurugenzi.
Romayani akisafisha zizi la Ngombe ambaye ni matunda ya Heifer ambapo uchafu huo ni unaelekea kwenye mtungi ambao unazalisha gas kabla ya kuwa Mbolea ya kutumia mashambani.
Hapo akikoroga ili majani yabaki na kinyesi cha Ng'ombe kikatengeneze Gas
Hii ni sehemu ya Mtambo wa umeme unaotokana na Gas
Chanzo cha maji ambacho ni sehemu ya miradi kijijini hapo

No comments