ZIARA YA WAANDISHI WA HABARI KUTEMBELEA MAENDELEO YA MIRADI ILILIYOFADHILIWA NA HEIFER KATESH MANYARA.
Familia ya Bwana na Bibi Juma Maulid wakiwa na mtoto yatima ambaye wamekuwa wakimlea tangu akiwa na miezi mitatu kwa kutumia maziwa ya Ngombe anayeitwa Bahati kwa kupitia kikundi chao cha Twiga A chenye wanachama 20 waliyofadhiliwa na Heifer wakiwa na mtoto wao wa mwisho Salma Maulid nyumbani kwao Endagau Wilayani Hanang Mkoa wa Manyara walipotembelewa na waandishi wa habari kujua maendeleo ya miradi hiyo.Baadhi ya wanakikundi wa Twiga A wakiwa wamekusanyika pamoja walipokuwa wametembelewa na waandishi wa habari kujua maendeleo ya mifugo waliyofadhiliwa na HEIFER.
Naibu Mkurugenzi wa Heifer Project International,Alfred Futte akiwa amembeba Mtoto yatima anayelelewa na Mama Zainabu kwa kutumia maziwa ya Ngombe waliyofadhiliwa na Heifer.Kulia ni DCD,Hamis Tembele.
Post a Comment