JAMESON WISKY YAKUTANISHA WADAU WAKE.
Meneja masoko
wa Jameson Whisk,Adam Kawa(kulia) akizungumza na wageni waalikwa wakati wa
hafla ya kuonja kinywa hicho iliyofanyika katika mgahawa wa High Spirit jijini
Dar es Salaaam.
Baadhi ya
wageni waalikwa waliofika katika hafla ya kuonja Jameson Whisk wakimsikiliza Meneja
masoko wa Jameson Whisk,Adam Kawa iliyofanyika katika mgahawa wa High Spirit
jijini Dar es Salaaam.
Balozi Mkuu
wa kinywaji cha Jameson Whisk, Nelson Aseka akizungumza na wageni waalikwa wakati
wa hafla ya kuonja kinywa hicho jinsi namna kinavyotengenezwa.Hafla hiyo iliyofanyika
katika mgahawa wa High Spirit jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya
wageni waalikwa waliofika katika hafla ya kuonja Jameson Whisk wakimsikiliza
Balozi Mkuu wa kinywaji cha Jameson Whisk, Nelson Aseka iliyofanyika katika
mgahawa wa High Spirit jijini Dar es Salaaam.
Baadhi ya
wageni waalikwa waliofika katika hafla ya kuonja Jameson Whisk wakinusa kinywaji
cha Jameson Whisk ili kujua harufu yake
wakati wa hafla iliyofanyika katika mgahawa wa High Spirit jijini Dar es
Salaaam.
Balozi Mkuu
wa kinywaji cha Jameson Whisk, Nelson Aseka akikielezea kinywaji cha Jameson
Whisk kwa kwa wageni waalikwa wakati wa hafla ya kuonja kinywa hicho iliyofanyika katika mgahawa wa High Spirit
jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya
wageni waalikwa waliofika katika hafla ya kuonja Jameson Whisk wakimsikiliza
Balozi Mkuu wa kinywaji cha Jameson Whisk, Nelson Aseka iliyofanyika katika
mgahawa wa High Spirit jijini Dar es Salaaam.
Post a Comment